Take a fresh look at your lifestyle.

WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU JANJA ZA INFINIX

Kuanzia tarehe 8 – 14 ya mwezi huu wa 4 2019 simu za Infinix zitakuwa katika punguzo la bei kupitia soko la mtandaoni lifahamikalo kama Jumia na punguzo hili kufanyika kwa wiki moja ya JUMIA MOBILE WEEK.

Loading...

JUMIA MOBILE WEEK ni wiki madhubuti kwa ajili ya kuuza simu kwa bei ya punguzo,na safari hii simu za Infinix ikiwamo Infinix ZERO 6 na Infinix HOT7  ni miongoni mwa simu zitakazopatikana kwa bei ya punguzo. Jumia mobile week imeanza rasmi tarehe 8/4-14/4 2019.

Join Us On WhatsApp For Instant Updates
Loading...

Leave A Reply

Your email address will not be published.